• 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 7
by global
Tue Nov 21, 2017 10:43 am
Forum: Dini/Imani
Topic: nadhani ni dhambi gani mbaya ?
Replies: 0
Views: 48

nadhani ni dhambi gani mbaya ?

Unaweza kuwa mtu wa imani yoyote ilimradi tu unaamini katika Mungu. Unadhani ni dhambi gani mbaya umewahi kuifanya na inakufanya ujutie sana mpaka leo hii? Karibuni kwa michango.
by global
Tue Nov 21, 2017 10:41 am
Forum: Jukwaa la Lugha
Topic: Miaka yangu miwili jijini London
Replies: 0
Views: 53

Miaka yangu miwili jijini London

Miaka yangu miwili jijini London ilikuwa na mafanikio makubwa tu... yes no, yes no. ninazo za kumwaga tu... ila kama unataka kuvunja yai, njoo tufundishane tu. sijasema nikufundishe, nimesema TUFUNDISHANE.
by global
Tue Nov 21, 2017 10:38 am
Forum: Jukwaa la Elimu (Education Discussion)
Topic: UHAKIKI WA RIWAYA: TAKADINI
Replies: 0
Views: 48

UHAKIKI WA RIWAYA: TAKADINI

UHAKIKI WA RIWAYA: TAKADINI MWANDISHI: BEN J. HANSON WACHAPISHAJI: MATHEWS BOOKSTORE AND STATIONARIES MWAKA: 2004 MHAKIKI: DAUD MAKOBA 0754 89 53 21/ 0653 25 05 66 TAKADINI ni riwaya inayopaza sauti kuwatetea watu wenye ulemavu. Katika jamii za Kiafrika walemavu hawakupewa kipaumbele. Wengi waliuawa...
by global
Tue Nov 21, 2017 10:29 am
Forum: Jukwaa la Sheria (The Law Discussion)
Topic: Kampeni za udiwani za ccm zimedorora , ndio maana habari zake zinafichwa .
Replies: 0
Views: 43

Kampeni za udiwani za ccm zimedorora , ndio maana habari zake zinafichwa .

Si Magazetini wala kwenye mitandao ya kijamii , habari zinazotamba ni kampeni za Chadema pekee ! Taarifa zinadokeza kwamba ukiachana na viongozi na polisi wanaolinda mikutano hiyo , wananchi wa kawaida wanaohudhuria mikutano ya kampeni za ccm ni wa kuwahesabu kwa vidole vya mkono wa kushoto. Wachamb...
by global
Tue Nov 21, 2017 10:25 am
Forum: Elimu ya Mapishi (Chef)
Topic: Jinsi Ya Kupika Bihari Kabab
Replies: 0
Views: 48

Jinsi Ya Kupika Bihari Kabab

http://www.fauziaskitchenfun.com/sites/default/files/styles/recipe-main/public/bihari%20kabab_0.jpg?itok=153vou18 Bihari Kabab, sometimes known as Bihari Boti is made up of strips of tender cuts of beef fillet that are marinated and then threaded onto skewers and grilled until done to almost a 'fal...
by global
Tue Nov 21, 2017 10:18 am
Forum: Tech, Gadgets & Science
Topic: Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Kampuni za Alibaba Jack Ma
Replies: 0
Views: 48

Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Kampuni za Alibaba Jack Ma

Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Kampuni za Alibaba Jack Ma Baada ya kukamilisha ziara yake nchini Kenya wiki iliyopita, bilionea Jack Ma ametangaza kuanzisha mfuko wa kuendeleza wajasiriamali wa Kiafrika. Ma ambaye ni mwanzilishi na Mwenyekiti wa Kampuni za Alibaba, alitangaza kutoa Dola 10 milioni za ...
by global
Tue Nov 21, 2017 10:16 am
Forum: Elimu ya Ufundi (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Topic: Vitu muhimu vinavyofanya injini ya Dizeli iwake
Replies: 0
Views: 43

Vitu muhimu vinavyofanya injini ya Dizeli iwake

Kwa injini zote zinazowaka kwa ndani yafuatayo lazima yawepo:- 1. Mafuta na hewa lazima yawepo na kwa kipimo kinachohi-tajika. 2. Mafuta na hewa lazima vikandamizwe kabla au baada ya mchanganyiko kutokea. 3. Mchanganyiko unaokandamizwa lazima uwake na utanuke ili uweze kuendesha injini. 4. Moshi wa ...
by global
Sun Nov 12, 2017 1:40 pm
Forum: Tanzanian News and Politics
Topic: RC WANGABO: WATAKAOWANYANYASA WAANDISHI WA HABARI KUKION
Replies: 0
Views: 68

RC WANGABO: WATAKAOWANYANYASA WAANDISHI WA HABARI KUKION

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/Mbili.jpg Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mh. Joachim Wangabo amewatahadharisha wakuu wa wilaya na wapenda maendeleo wote Mkoani Rukwa wasiwanyanyase waandishi wa habari pindi wanapohitaji habari za kutangaza fursa zilizomo katika mkoa huo.   Ameonya...
by global
Sun Nov 12, 2017 1:38 pm
Forum: Majadiliaono ya Habari za Kimataifa
Topic: WANNE MAHAKAMANI KWA KUMZOMEA MKE WA RAIS MUGABE!
Replies: 0
Views: 78

WANNE MAHAKAMANI KWA KUMZOMEA MKE WA RAIS MUGABE!

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/Robert-Mugabe-empowerment-black.jpg Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe Watu Wanne wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe kwa kosa la kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, Bi Grace Mugabe. Kwa mujibu wa gazeti la serikali la nchi hi...
by global
Sun Nov 12, 2017 1:35 pm
Forum: Ugandan News and Politics
Topic: Tanzania, Uganda Leaders Criticize ICC Probe of Burundi
Replies: 0
Views: 91

Tanzania, Uganda Leaders Criticize ICC Probe of Burundi

https://gdb.voanews.com/8AAD2850-436A-4998-8492-EA5D237603F7_w1023_r1_s.jpg he leaders of Tanzania and Uganda criticized on Saturday a plan by the International Criminal Court (ICC) to investigate alleged human rights abuses in Burundi. A statement from the office of Tanzanian President John Magufu...
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 7