global
Site Admin
Topic Author
Posts: 66
Joined: Fri Jul 14, 2017 1:50 pm
Contact:

Kampeni za udiwani za ccm zimedorora , ndio maana habari zake zinafichwa .

Tue Nov 21, 2017 10:29 am

Si Magazetini wala kwenye mitandao ya kijamii , habari zinazotamba ni kampeni za Chadema pekee !

Taarifa zinadokeza kwamba ukiachana na viongozi na polisi wanaolinda mikutano hiyo , wananchi wa kawaida wanaohudhuria mikutano ya kampeni za ccm ni wa kuwahesabu kwa vidole vya mkono wa kushoto.

Wachambuzi wa masuala ya siasa wanatafsiri hali hii kama ishara ya wazi ya kuchokwa kwa ccm , hasa kutokana na kushindwa kubadili maisha ya wananchi , ikiwa ni pamoja na kutoa vitisho kwa wananchi , kejeli na unyama wa bomoabomoa.

Yetu macho .

Trending Topics