global
Site Admin
Topic Author
Posts: 66
Joined: Fri Jul 14, 2017 1:50 pm
Contact:

nadhani ni dhambi gani mbaya ?

Tue Nov 21, 2017 10:43 am

Unaweza kuwa mtu wa imani yoyote ilimradi tu unaamini katika Mungu. Unadhani ni dhambi gani mbaya umewahi kuifanya na inakufanya ujutie sana mpaka leo hii? Karibuni kwa michango.

Trending Topics